Nenda kwa yaliyomo

Kingawun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kingawun kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wangawun katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kingawun, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingawun kiko katika kundi la Kimayabiki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingawun kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.