Kingarla

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kingarla ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wangarla katika jimbo la Australia Magharibi. Mwaka wa 2012, kulikuwa na wasemaji wa Kingarla 18 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingarla kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingarla kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.