Kingardi
Mandhari
Kingardi ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wangardi katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kingardi 14 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingardi kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kingardi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kingardi Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kingardi katika Glottolog
- lugha ya Kingardi katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kingardi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |