Kingantangarra
Mandhari
Kingantangarra kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wangantangarra katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kingantangarra ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingantangarra kiko katika kundi la Kikarniki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kingantangarra kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kingantangarra Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kingantangarra katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kingantangarra kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |