Kinganakarti
Mandhari
Kinganakarti kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wanganakarti katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kinganakarti ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinganakarti kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kinganakarti kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinganakarti Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kinganakarti katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinganakarti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |