Kingamini
Mandhari
Kingamini kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wangamini katika jimbo la Australia Kusini. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kingamini ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingamini kiko katika kundi la Kikarniki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kingamini kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kingamini Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kingamini katika Glottolog
- lugha ya Kingamini katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kingamini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |