Kingaju

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kingaju ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wangaju kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kingaju imehesabiwa kuwa watu 890,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingaju iko katika kundi la Kibarito.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingaju kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.