Kingadjunmaya
Mandhari
Kingandjunmaya kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wangandjunmaya katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kingandjunmaya ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingandjunmaya kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kingandjunmaya kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kingandjunmaya Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kingandjunmaya katika Glottolog
- lugha ya Kingandjunmaya katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kingadjunmaya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |