Kingaanyatjarra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kingaanyatjarra ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wangaanyatjarra katika majimbo ya Australia Magharibi na Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kingaanyatjarra elfu moja. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingaanyatjarra kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingaanyatjarra kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.