Nenda kwa yaliyomo

King Wadada

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

King Wadada (jina halisi: Austin Peter, alizaliwa 6 Agosti 1975) ni mwanamuziki wa reggae, mwimbaji, na mtunzi wa nyimbo wa Nigeria.

Wadada alishinda tuzo za Kora mwaka wa 2010 kama msanii bora ya mwaka wa reggae barani Afrika. Akijulikana zaidi kwa wimbo wake "Holy Holy." [1][2][3][4][5][6][7]


Maisha ya Awali

[hariri | hariri chanzo]

King Wadada alizaliwa tarehe 6 Agosti 1975 huko Urhonigbe, katika Halmashauri ya Serikali za Mitaa ya Orhionmwon, Jimbo la Edo nchini Nigeria.[8]

Kazi ya Muziki

[hariri | hariri chanzo]

King Wadada alisainiwa chini ya lebo ya Miracle Day Music. Mwaka 2010, alishinda Tuzo za Kora kama msanii bora wa reggae barani Afrika.[9][10]

  1. ↑ http://www.punchng.com/feature/midweek-revue/kora-hasnt-paid-me-a-dime-king-wadada/ Archived 15 Aprili 2015 at the Wayback Machine – The_Punch Nigerian newspaper
  2. ↑ http://allafrica.com/stories/201305220451.html – AllAfrica.com
  3. ↑ http://www.punchng.com/entertainment/arts-life/majek-wadada-on-mission-to-rebrand-reggae/ Archived 25 Mei 2015 at the Wayback Machine – The_Punch Nigerian newspaper
  4. ↑ "Tasks before younger artistes – King Wadada | Newswatch Times". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 6 Februari 2015. Iliwekwa mnamo 25 Mei 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. ↑ "Dont Take Advantage of The Public With Vulgar Songs.King Wadada Warns". nigeriafilms.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 Mei 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. ↑ http://www.modernghana.com/movie/2932/3/i-smoked-igbo-indian-hemp-heavilyreggae-act-king-w.html – Modernghana.com
  7. ↑ Page title[usurped] – National_Mirror Nigerian newspaper
  8. ↑ http://www.nigerianobservernews.com/10082014/news/news18.html#.VWNgF1JmJT4 Ilihifadhiwa 25 Oktoba 2016 kwenye Wayback Machine. – Nigerian_Observer newspaper
  9. ↑ http://www.punchng.com/feature/midweek-revue/kora-hasnt-paid-me-a-dime-king-wadada/ Archived 15 Aprili 2015 at the Wayback Machine – The_Punch Nigerian newspaper
  10. ↑ https://www.youtube.com/watch?v=CFp0z7XV5KA – King Wadada akishinda Tuzo za Kora mwaka 2010
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu King Wadada kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.