Kinewar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinewar ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal na Uhindi inayozungumzwa na Wanewar. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kinewar nchini Nepal imehesabiwa kuwa watu 847,000. Pia kuna wasemaji 14,000 nchini Uhindi (2007). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinewar iko katika kundi la Kihimalayan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinewar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.