Kindzwani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kindzwani (pia Shindzwani au Kiswahili ya Komori) ni lugha ya Kibantu nchini Komori inayozungumzwa na Wakomori. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kindzwani kisiwani kwa Komori imehesabiwa kuwa watu 264,000. Pia kuna wasemaji 8000 nchini Madagaska na 3000 kisiwani kwa Reunion. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kindzwani iko katika kundi la G40, yaani iko karibu na Kiswahili.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Noun project 1822.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kindzwani kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.