Kindumu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kindumu ni lugha ya Kibantu nchini Gabon inayozungumzwa na Wandumu. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kindumu imehesabiwa kuwa watu 4310. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kindumu iko katika kundi la B60.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kindumu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.