Nenda kwa yaliyomo

Kindogo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kindogo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Wandogo. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kindogo imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kindogo iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kindogo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.