Kindobo (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kindobo ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wandobo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kindobo imehesabiwa kuwa watu 10,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kindobo iko katika kundi la C40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kindobo (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.