Kinda'nda'

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kinda'nda' (lugha))

Kinda'nda' ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wanda'nda'. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kinda'nda' imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinda'nda' iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinda'nda' kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.