Kinauo
Mandhari
Kinauo kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wanauo katika jimbo la Australia Kusini. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kinauo ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinauo kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kinauo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinauo Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kinauo katika Glottolog
- lugha ya Kinauo katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinauo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |