Kinarungga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinarungga (au Kinarangga) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wanarungga katika jimbo la Australia Kusini. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kinarungga 24 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinarungga kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinarungga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.