Kinancere

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kinancere ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Wanancere. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kinancere imehesabiwa kuwa watu 81,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinancere iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinancere kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.