Kinambya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinambya ni lugha ya Kibantu nchini Zimbabwe inayozungumzwa na Wanambya. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kinambya imehesabiwa kuwa watu 90,000. Pia kuna wasemaji 15,000 nchini Botswana. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinambya iko katika kundi la S10.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinambya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.