Kinamasi cha Machar
Kinamasi cha Machar kinapatikana Sudan Kusini [1][2].
Kinapokea maji kutoka mito Yabus, Daga na Khor Machar, halafu maji yake yanaelekea mto Naili kupitia mto Adar.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Topographical map of Jonglei. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-09-29. Iliwekwa mnamo 2020-03-25.
- ↑ Sutcliffe, J. V. (1999). "The Sobat Basin and the Machar Marshes", The Hydrology of the Nile. Retrieved on 2011-07-22. page 112
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kinamasi cha Machar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |