Kinahali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kinahali (au Kikalto) ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wanahali. Isichanganywe na Kinihali ambayo ni lugha tofauti. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kinahali imehesabiwa kuwa watu 15,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinahali iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinahali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.