Nenda kwa yaliyomo

Kinachering

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinachering ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Wanachering. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kinachering imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinachering iko katika kundi la Kihimalaya.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinachering kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.