Kimwera-Nyasa
Mandhari
Kimwera-Nyasa ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wamwera lakini ni lugha tofauti na Kimwera yenyewe. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kimwera-Nyasa imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimwera-Nyasa iko katika kundi la N20.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimwera kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimwera Ilihifadhiwa 23 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimwera katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mjh
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimwera-Nyasa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |