Nenda kwa yaliyomo

Kimurik (Papua)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimurik (pia Kinor) ni lugha ya Kiramu na Kisepik ya Chini nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wamurik. Isichanganywe na lugha ya Kimurik inayozungumzwa nchini Malaysia. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimurik imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimurik iko katika kundi la Kinor.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimurik (Papua) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.