Kimunggui
Mandhari
Kimunggui ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamunggui kwenye kisiwa cha Serui. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kimunggui imehesabiwa kuwa watu 800 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimunggui iko katika kundi la Kiyapen.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimunggui kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimunggui Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimunggui katika Glottolog
- lugha ya Kimunggui kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimunggui kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |