Kimuna
Mandhari
Kimuna ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamuna kwenye visiwa vya Muna, Buton na Ambon. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimuna imehesabiwa kuwa watu 300,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimuna iko katika kundi la Kicelebiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimuna kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimuna Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimuna katika Glottolog
- lugha ya Kimuna kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimuna kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |