Kimulikaji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hiyo kuhusu "Kimulikaji" inatumia neno ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio kwa jambo linalotajwa.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.

Mfano wa Kimulikaji

Kimulikaji (kwa Kiingereza: phosphor) ni dutu inayong'aa na kutoa nuru ikiathiriwa na mwanga wa masafa tofauti.

Vimulikaji hutumiwa katika aina mbalimbali za taa.