Kimulaha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimulaha ilikuwa lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya iliyozungumzwa na Wamulaha. Imekadiriwa kuwa hakuna wasemaji wa Kimulaha tangu miaka ya 1950, yaani lugh imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimulaha iko katika kundi la Kikwalean.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimulaha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.