Kimugom
Mandhari
Kimugom ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal na Uhindi inayozungumzwa na Wamugom. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimugom imehesabiwa kuwa watu 6500 nchini Nepal na 500 nchini Uhindi. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimugom iko katika kundi la Kibodish.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimugom kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimugom Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimugom katika Glottolog
- lugha ya Kimugom kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimugom kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |