Kimoronene

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimoronene ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamoronene kwenye visiwa vya Sulawesi na Kabaena. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimoronene imehesabiwa kuwa watu 37,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimoronene iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimoronene kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.