Kimor (Kiaustronesia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimor ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamor kwenye visiwa vya Mor. Isichanganywe na lugha ya Kimor ambayo ni lugha ya Papua. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kimor imehesabiwa kuwa watu 700 tu. Kwa vile Wamor wengi wameanza kuacha lugha yao, Kimor iko hatarini mwa kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimor iko katika kundi la Kicenderawasih.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimor (Kiaustronesia) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.