Kimono (Visiwa vya Solomon)
Mandhari
Kimono ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Wamono kwenye visiwa vya Mono, Alu, Alo na Fauro. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kimono imehesabiwa kuwa watu 2940. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimono iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimono kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimono Archived 26 Oktoba 2014 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimono katika Glottolog
- lugha ya Kimono kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimono (Visiwa vya Solomon) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |