Kimongondow

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimongondow ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamongondow kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimongondow imehesabiwa kuwa watu 230,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimongondow iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimongondow kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.