Kimodang
Mandhari
Kimodang ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamodang kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kimodang imehesabiwa kuwa watu 15,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimodang iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimodang kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimodang Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimodang katika Glottolog
- lugha ya Kimodang kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimodang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |