Kimo'da
Mandhari
Kimo'da (au Kigberi) ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Wamo'da. Mwaka wa 1977 idadi ya wasemaji wa Kimo'da imehesabiwa kuwa watu 600 tu. Kwa hiyo inawezekana lugha ya Kimo'da imekaribia kutoweka. Wataalamu wengine huiangalia kama lahaja ya Kimorokodo. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimo'da iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimo'da kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimo'da Ilihifadhiwa 6 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimo'da katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/gbn
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimo'da kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |