Kimizo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimizo (zamani pia Kilushai) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi, Myanmar na Bangladesh inayozungumzwa na Wamizo. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimizo nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 675,000. Pia kuna wasemaji 12,500 nchini Myanmar (1983) na 250 nchini Bangladesh (2007). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimizo iko katika kundi la Kisal.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimizo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.