Kimituku (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kimituku ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wamituku. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimituku imehesabiwa kuwa watu 50,900. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimituku iko katika kundi la D10.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimituku (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.