Kimiriwung

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimiriwung (au Kimiriwoong) ni lugha ya Kijarrakan nchini Australia inayozungumzwa na Wamiriwung katika jimbo la Australia Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kimiriwung 210, na lugha imo hatarini mwa kutoweka.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimiriwung kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.