Kimire
Mandhari
Kimire ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Wamire. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kimire imehesabiwa kuwa watu 1400 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimire iko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimire kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimire Ilihifadhiwa 22 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimire katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mvh
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimire kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |