Kiminangkabau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiminangkabau ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waminangkabau kwenye kisiwa cha Sumatra na visiwa vingi vya nchini. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiminangkabau imehesabiwa kuwa watu 5,530,000 ambao nusu yao huishi nje ya Sumatra, pamoja na 500,000 mjini Jakarta. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiminangkabau iko katika kundi la Kimalayiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiminangkabau kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.