Kimina (Uhindi)
Mandhari
Kimina ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wamina. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kimina imehesabiwa kuwa watu 3,800,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimina iko katika kundi la Kiaryan.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimina kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimina Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimina katika Glottolog
- lugha ya Kimina kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimina (Uhindi) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |