Kimiltu
Mandhari
Kimiltu ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Wamiltu. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kimiltu imehesabiwa kuwa watu 270 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimiltu iko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimiltu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimiltu Archived 23 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimiltu katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mlj
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimiltu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |