Kimiani
Mandhari
Kimiani ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wamiani. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kimiani imehesabiwa kuwa watu 1500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimiani iko katika kundi la Kipihom.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimiani kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimiani Ilihifadhiwa 16 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimiani katika Glottolog
- lugha ya Kimiani kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimiani kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |