Kimfinu (lugha)
Mandhari
Kimfinu ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wamfinu. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kimfinu imehesabiwa kuwa watu 8400. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimfinu iko katika kundi la B80.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimfinu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimfinu Ilihifadhiwa 5 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimfinu katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/zmf
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimfinu (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |