Kimewati
Mandhari
Kimewati ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wameo. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimewati imehesabiwa kuwa watu 645,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimewati iko katika kundi la Kiaryan.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimewati kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimewati Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimewati katika Glottolog
- lugha ya Kimewati kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimewati kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |