Kimeoswar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kimeoswar ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wameoswar kwenye kisiwa cha Meoswar. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kimeoswar imehesabiwa kuwa watu 250 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimeoswar iko katika kundi la Kibiakiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimeoswar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.