Kimenka
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kimenka (lugha))
Kimenka ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wamenka. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimenka imehesabiwa kuwa watu 5200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimenka iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimenka kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimenka Ilihifadhiwa 30 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimenka katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mea
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimenka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |