Kimeitei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimeitei (pia Kimanipuri) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi na Bangladesh inayozungumzwa na Wameitei. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimeitei nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 1,470,000. Pia kuna wasemaji 15,000 nchini Bangladesh (2003). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimeitei iko katika kundi la Kisal.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimeitei kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.