Kimediak

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimediak ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Tanzania inayozungumzwa na Wamediak. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimediak imehesabiwa kuwa watu 5270 lakini wasemaji wengi wameshaanza kubadilisha lugha, yaani Kimediak iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimediak iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimediak kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.